Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

Kwa mgonjwa wa akili kama HK ni kitu cha kawaida kusahau alichosema jana au juzi, msishangae. Ndo huyu huyu alikuwa anadai eti Tundu lissu ana ugojwa wa akili du! kumbe alisahau kuwa yeye ndio mgonjwa wa akili na leo tumejua alikuwa anamaanisha nini.
 
Mbona marudio??

Ungejiuliza Kigwangala huyu huyu aliyeupitisha mswada ndiyo huyu huyu anayetoa povu nigekuona wa maana.

Mibunge ya ccm sijui wakati mwingine wanatumia makalio kufikiri ama vipi.
 
Kwa ninavyo mjua mimi Dkt Kigwangala hawezi kuongea hayo mnayo yaandika nyie. Mbona kwenye gazeti ka Raia mwema ameelezea vizuri sana. Kigwangala amekaa Center yeye ameongelea faida za Mhe, Rais kusaini na faida za kuto kusaini. Ktk hili Dr, Kigwangala amekuwa mtu mwenye msimamo wa kati na sio wa kileberali. Acheni kuchafua na kuwagombanisha viongozi na serikali kwa mitazamo yenu hasi. Aluta continua Kaka Kigwangala natambua kazi njema na nadhifu unayo ifanya hapo Arusha ktk kuhakikisha kuwa fedha za walala hoi zinatumika vizuri.
 
Sio kweli mbona maelezo ya doctor Kigwangala yapo clear sana kwenye gazeti la RAIA MWEMA hao mawio wametoa wapi Taarifa za uongo za kupika na kutengeneza au ndio madhara ya viroba kazini? Kaka Kigwangala endelea na kuchapa kazi usipoteze muda wakuja kutolea ufafanuzi wa hoja za kupikwa kwani wanao taka kupata ukweli watatafuta gazeti la Raia mwema. Aluta continua Brother natambua uwepo wako hapo Arusha ktk kuhakikisha matumizi sahihi ya fedha za walala hoi.
 
Mh.nakuunga mkono kwa 100%
 
Kigwangala inawezekana amejirudi. Baada ya kuamua kwa sababu ulifuata mkumbo, sasa unaona uhalisia kwamba ulikosea.

Hapa sioni kosa, kwa vile mwenyewe ametubu kwamba alifanya kosa kuunga hoja mkono.

Hivyo hili swala halina budi kurudishwa mezani na jinsi ya kuipitisha inahitaji kutumia akili zaidi. Ndo maana tunasema kuanzia sasa sifa ya kuwa mbunge inabidi ibadilishwe. Iwe ni pamoja na kuzingatia kiwango cha elimu.

Kwani kusema ndiyoo!!! Kunahitaji elimu? Ila kusema Hapana!!! kunahitaji elimu ya juu.

Yafaa wabunge wakajirudi na kuona kwamba wanawakilisha watu na si kwa maslahi yao binafsi.

Muswada urudishwe bungeni na ufanyiwe kazi upya na kupitishwa kwa akili, demokrasia bila ushabiki wowote.
 
Matusi meeengi bungeni kumbe hakujua anafanya nini!!
 
Kama kweli amesema hivyo,Hamisi K. kaishiwa hoja na hivyo anatapatapa.Hakuwepo Bungeni wakati wanapitisha?Hakuchangia siku ile??Si ndo yule aliyekuwa anamtusi Mbowe na Upinzani kisha akaanza kumsifia mkewe na kumponda mkewe Mbowe.Hana jipya huyu.TUMEMPUUZA!!!!!
 
hata saa mbovu kuna muda ukifika huwa inasema ukweli ivyo mwacheni msimshambulie kwani ameanza kujitambua baada ya dozi ya kijani na njano kupungua nguvu.
 
Tumeshatoka huko tunasubiria utekelezaji wa alichokihidi Mweshimiwa Rais. Hasiturudishe nyuma...

Asaini au asisaini hiyo ni shauri yake lakini ajue watz wameshachoka kutawaliwa na wakoloni weusi na mabadiliko ya kuwaondoa wakoloni hao hayaepukiki lakini wajue pia adhabu ya waovu ipo palepale
 
simiyu yetu ana id tatau kama Mwigulu wanauliza wanatutega wanajibu wenyewe bila kusahau kumtaja Dk Slaa kila sekund

Mkuu naomba uziorodheshe hapa na mie nizijue halafu tumalizane nao humuhumu, coz kagasheki alitoa ruhusa hawa majangiri tumalizane hukuhuku.
 
nipe chai na kigwangala kisha kinana bariidi kabla sijkunape(kukutukana) napita tu
 
Nlishasema HAMIS ni mnafki...so as CCM wengi...HAkiya mungu ningekua na uwezo na kungekua na sheria mimi ndo ningekua nasimamia unyongaji....wajinga kabisa hawa
 
Maccm km ng'ombe tu. Huya hayafikiri wala kuchambua miswada inayoletwa
 
Hamis, Hamis, ndg yetu, Mh. saana.
Kweli, kama kuna ka-shetwan kabaya ni hako kaliko ku-pagaa leo. Unasemaje ati! Mbona makubwa haya jamani? Kigwangala huyu aliyekomalia mijicho ikimtoka na kuwakwida wapinzani leo ameota tofauti? Basi nimeamini bunge letu halina watu ndio maana huyu huyu akaomba wapelekwe Mirembe kupimwa akili.
Kigwangala, 2015 Nzega si yakoooooo hata ungejikomba vipi. Wameshajua upo kutetea hilo li chama mfu tuuuu
 
binafsi napata taabu sana kwa Mh H.K mbunge wa nzega,siamini kama anaweza kuwa na PhD ya ukinyonga,duuuuuu
 

soma mawio toleo no 0064. oktoba 10-16 2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…