Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona marudio??
Mh.nakuunga mkono kwa 100%"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"
"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."
atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..
....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.
Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."
anataka tu ajipatie political attention mbona bungeni hakusimama akatetea hiyo hoja?wote ni ukoo mmoja uleule wa panya
Tumeshatoka huko tunasubiria utekelezaji wa alichokihidi Mweshimiwa Rais. Hasiturudishe nyuma...
simiyu yetu ana id tatau kama Mwigulu wanauliza wanatutega wanajibu wenyewe bila kusahau kumtaja Dk Slaa kila sekund
Kwa ninavyo mjua mimi Dkt Kigwangala hawezi kuongea hayo mnayo yaandika nyie. Mbona kwenye gazeti ka Raia mwema ameelezea vizuri sana. Kigwangala amekaa Center yeye ameongelea faida za Mhe, Rais kusaini na faida za kuto kusaini. Ktk hili Dr, Kigwangala amekuwa mtu mwenye msimamo wa kati na sio wa kileberali. Acheni kuchafua na kuwagombanisha viongozi na serikali kwa mitazamo yenu hasi. Aluta continua Kaka Kigwangala natambua kazi njema na nadhifu unayo ifanya hapo Arusha ktk kuhakikisha kuwa fedha za walala hoi zinatumika vizuri.
Chanzo Udaku. Mods toa hiyo thread. Si maneno ya Mh. HK Hayo. Yamepikwa.