Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

Moderators,

Hii ni habari ya uongo. Mawio wamechukua habari yangu kwenye mtandao kisha waka-edit kichwa cha habari na kuweka cha kwao. Huyu naye ameokota mistari miwili mitatu na kuweka ----- wake kisha kubandika hapa...Makala yangu halisi ni ile iliyopo Rai Mwema ya wiki iliyopita.

Regards,
HK.
 
Back
Top Bottom