Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

Hamis Kiiza 'Diego' amwaga wino Simba!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Hiyo siyo tetesi bali ni kweli Hamis Kiiza kasajiri Simba SC jioni hii.My take:Hakuna mchezaji aliye wahi kutoka Yanga kwenda Simba akapaform vzr.Unawakumbuka hawa?LUNYAMILA,MMACHINGA,MATHIAS MULUMBA,MAFTA JNR N.K.Jee Kiiza atabadirisha upepo?
 

Attachments

  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    6.6 KB · Views: 999
  • IMG-20150702-WA0002.jpg
    IMG-20150702-WA0002.jpg
    39.1 KB · Views: 524
  • KIIZA+1.jpg
    KIIZA+1.jpg
    33.5 KB · Views: 188
Hiyo siyo tetesi bali ni kweli Hamis Kiiza kasajiri Simba SC jioni hii.

My take:Hakuna mchezaji aliye wahi kutoka Yanga kwenda Simba akapaform vzr.
Unawakumbuka hawa?
LUNYAMILA,MMACHINGA,MATHIAS MULUMBA,MAFTA JNR N.K.
Jee Kiiza atabadirisha upepo?

hawa wachezaj wa nje wanajua namna ya kula pesa za wabongo sana. mm najiuliza, wanaongeza thamani gani kwenye soka la bongo??? anyway, nashukur TRA wameanza kukatamo kakodi ketu mwaaya!
 
Kiiza mpira ulishakwisha huyo...

Kama Dan Sserunkuma alishindwa kucheza mpira akiwa Simba, sioni winga yoyote wa Kiganda kwa sasa kufanya maajabu yoyote hapo Msimbazi...
 
Back
Top Bottom