Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Hivi kweli mnashangilia Simba kumchukua Kiiza? mtu hajacheza season yote, na wala hamjui kiwango chake? hapa kuna matatizo makubwa na kamati ya usajili ya Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiizaKiiza mpira ulishakwisha huyo...
Kama Dan Sserunkuma alishindwa kucheza mpira akiwa Simba, sioni winga yoyote wa Kiganda kwa sasa kufanya maajabu yoyote hapo Msimbazi...
Watu hamuwapi upenyo hata wa kunywa maji!.Weeeeeee
Gaidi alikuwa anataka watu.Hiyo siyo tetesi bali ni kweli Hamis Kiiza kasajiri Simba SC jioni hii.My take:Hakuna mchezaji aliye wahi kutoka Yanga kwenda Simba akapaform vzr.Unawakumbuka hawa?LUNYAMILA,MMACHINGA,MATHIAS MULUMBA,MAFTA JNR N.K.Jee Kiiza atabadirisha upepo?
Mamaaeeeee.......kwa lipi?Watu hamuwapi upenyo hata wa kunywa maji!.