Hii habari mwenyewe nimeisoma haraka haraka nikajua Hamisa Mobeto πππ amekuja hadi huku...Basi mini kwa mahaba nikafikiri Hamisa Mobeto kapinga rushwa π€£π€£π€£
Nikasema hawa watu mbona wamekosea kuandika jina la bibie, lakini huyu bibie naye mbona mwingi wa habari huku kwenye rushwa za uchaguzi kafikajeee?
Tushamzoea Hamisa wa visa mpaka tunapata dyslexia ya kulazimisha.Hii habari mwenyewe nimeisoma haraka haraka nikajua Hamisa Mobeto πππ amekuja hadi huku...
Kumbe ni Bwana Hamis wa zanzibar π