Wakuu,
CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague.
Kwamba Samia ni:
1. MNYENYEKEVU
2. MPENDA HAKI
3. MCHAPA KAZI
4. MZALENDO NAMBA MOJA
5. ANAPENDWA NA WENGI
6. MWENYE UTU
7. MTETEZI WA WANYONGE
:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Kiuhalisia ni sifa...
UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.