Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
CCM wametoa bandiko kuonesha sifa za mgombea wao Samia, na kwanini Watanzania wamchague.
Kwamba Samia ni:
1. MNYENYEKEVU
2. MPENDA HAKI
3. MCHAPA KAZI
4. MZALENDO NAMBA MOJA
5. ANAPENDWA NA WENGI
6. MWENYE UTU
7. MTETEZI WA WANYONGE

Kiuhalisia ni sifa ipi anayo kati ya hizo? Maana naona wamemwelea mtu wanayetamani ndio awe mgombea wao lakini hawana!
Team Kazi na Utu embu njooni mtuambie kwa kina, hizi sifa zinaangukia wapi kwa Samia, maana Watanzania hatuzioni!