GE2025 Hamis Mkotya wa Channel 10, autaka ubunge Jimbo la Chemba, Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mwandishi na mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Hamis Mkotya, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Chemba.

Mkotya (Kushoto), amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumatatu Juni 30, 2025 na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Chemba, Moza Abdallah.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…