Uchaguzi 2020 Hamis Shimye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM

Uchaguzi 2020 Hamis Shimye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mwandishi wa Habari Uhuru Media Group (UMG) Hamis Shimye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

1594987040711.png
 
Huyu mwandishi wa karatasi la uhuru linalopotosha na kuandika ushenzi kila siku sasa si anaenda kuwapotosha na kuwaletea ushenzi wana kigoma?.......

Mpigeni chini hatutaki virus bungeni
 
Back
Top Bottom