Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Baada ya mkataba wa US-Iran ameumia sana imebidi akimbie kwanza. Wayahudi wote weusi wamepotea kwa muda maana hawaamini wanachokionq
Kwani Lebanon ni iran? Ungejua Israel imelipua maeneo yote ya wakristo yaani South Lebanon usingeshangilia huu ujinga.Wamebaki wairan wa tandale kwa tumbo wanafanya sherehe kweli kweli. Ila nashangaa Israel inaendelea kutembeza kipigo kwa magaidi.
Jamaa ni Empty container for sale hana kitu kichwani hoja zake nyingi za kipuuzi kazi kujaza herufi kubwa halafu maandishi yote pumbaWewe nabaki kukucheka tu🤣🤣🤣
Kwani Lebanon ni iran? Ungejua Israel imelipua maeneo yote ya wakristo yaani South Lebanon usingeshangilia huu ujinga.
Iran imewashinda mnataka kujifariji Lebanon
Imtwange nani? Kwani Iran nayo haitwangi na makombora au hujui muda wote wa vita wayahudi walikua wanaishi kwenye mahandaki?
View: https://www.instagram.com/reel/DZ2yjHmARX9/?igsh=MXc3dm9obnMxNng0aw==
Sikiliza wanaume wanachosema dogo. Israel wanasisitiza wataendelea kuitwanga Irani ikiwa italeta uchoko.
Imtwange nani? Kwani Iran nayo haitwangi na makombora au hujui muda wote wa vita wayahudi walikua wanaishi kwenye mahandaki?
Iran sio mnyonge, ilifunga Hormuz na hakuna kitu hao Israel walifanya kama walikua wanaume si wangeenda kuifungua. B.S
Wapige tu kwani Lebanon si nchi ya kikristo, kwani Iran anapoteza nini? Nyie ndio wapuuzi kudhani kuua raia na kuteketeza vijiji vya wakristo wa South Lebanon ndio kuikomoa Iran. Yaani mnashabikia wakristo kuuwawa na makanisa kubomolewa??Dogo tuliza kipago wanaume wanatembeza ukuni huko ... Hali imekuwa tete. Mayahudi hayasikii la muadhini wala la mnadi swala.
Ooooh.... Kumbe issue ni dini? Siyo haki? Ndo maana huwa dogo nakuona we kiazi sana .. sikushangai lakini wengi ndo mlivyo. 😅Wapige tu kwani Lebanon si nchi ya kikristo, kwani Iran anapoteza nini? Nyie ndio wapuuzi kudhani kuua raia na kuteketeza vijiji vya wakristo wa South Lebanon ndio kuikomoa Iran. Yaani mnashabikia wakristo kuuwawa na makanisa kubomolewa??
Siku Israel akija kuilipua Vatican bado tu mtamsifia sijui mna shida ya akili au nini.
Kiazi ni wewe unayefurahia wakristo wenzako kuuwawa Lebanon eti kisa kumkomoa Iran ndio sasa nakuuliza Iran wanapoteza nini? Yaani Lebanon ikipotezwa Iran ana hasara gani?Ooooh.... Kumbe issue ni dini? Siyo haki? Ndo maana huwa dogo nakuona we kiazi sana .. sikushangai lakini wengi ndo mlivyo. 😅
Kiazi ni wewe unayefurahia wakristo wenzako kuuwawa Lebanon eti kisa kumkomoa Iran ndio sasa nakuuliza Iran wanapoteza nini? Yaani Lebanon ikipotezwa Iran ana hasara gani?