Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Au atakuwa Wema wa baadae akimsaidia 'mwenyekeiti' wa upinzani na kiongozi wa bunge wa baadae !
Samahani mkuu kama nitakuwa nimekunukuu vibaya, ulitaka kumaanisha Mzee atakuja ku fly nae to Dubai?
 
Kweli aisee watu wana kashfa tena kwa mambo ya mitandao tu

Ndio mambo ya timu hayo,nyie mnagombana na kuchambuana maisha yenu wenyewe wanazidi kuendelea katika maisha yao


Kama unajua mtu maisha yake binafsi haina hata haja ya kuyasema humu kisa mambo ya mastaa tu
 
Ila ukion umezaliwa afu mzazi wako ndio mastaa wa bongo yet hii unakaz sana mtoto kam hutatukanwa utahangaishwa had ukome ka hiv kuzaa zaa tu mtu hueleweki utuliv zero afu unajita mama
 
Khaa! Yaani kwavile Diamond hana mema yoyote ndo basi tena!! Mbona unachanganya madesa?! Hakuna anayemponda Hamisa kuzaa na mwanaume wa mtu!! Hamisa sio wa kwanza na katu hawezi kuwa wa mwisho!

Hoja ni ujinga wake unaoonesha wazi alitaka au anataka kuvuruga uhusiano wa Diamond na Zari ili hatimae yeye ndo awe kinara! Huo ni ujinga kwa sababu ni mwanaume asiyejielewa tu ndie anaweza kuwa tayari kuvuruga familia yake at the expense of mwanamke aliyezaa nae! Unless huyo mwanamke "mpya" awe more valuable vinginevyo mwanaume yeyote atakuwa firm kulinda familia yake!

Kwamba ndugu zake wangefahamu kama ana mtoto wa nje; ni ndugu gani unaowazungumzia wewe?

Ashakum si matusi; hivi leo hii nikikupa ujauzito ni ndugu zangu gani utakaotaka wafahamu zaidi ya wazazi wangu na wadogo zangu au labda na close uncles?! Kama Bi. Sandra alifahamu, unatarajia kakake Bi Sandra asingefahamu?! Ndugu gani exactly?! Au ndugu wa Instagram wakiongozwa na akina Mange Kimambi?!

Ukweli ni kwamba alichofanya Hamisa ni kile kinachofanywa na wanawake wengi wa Uswahilini! Huyu mwanamke atazaa na committed guy na watakubaliana iwe siri yao. Wiki au wiki mbili baadae mwanamke anaenda Kitumbini kununua kanga zenye maandishi ya mipasho na mafumbo kisha kisha anazivaa na kujipitisha kwa "mke" wa jamaa ili kumuonesha hayupo peke yake!

Naongea kama mwanaume; ukifanya hayo hesabu unajitengenezea maumivu mwenyewe kwa sababu most responsible men ni kuungama kwa wenza wao na kinachobaki kwako ni maumivu!

Wapo smart women wengi tu mjini waliozaa na committed men! Wanachojali ni commitment na (future) assurance kutoka kwa mwanaume husika!!
 
Upo SAHIHI kwa 100%. Kama asingekuwa na mahaba mazito na ukoo wake wa Instagram aliotaka ukoo wake ufahamu kila kitu, Hamisa angezitafuna sana za Chibu kimya kimya na mtoto wa 2, 3... angetokea tu kati yao!

Ajabu ni kwamba, ingawaje ndugu wa karibu walifahamu uhusiano wao; akaona hiyo haitoshi hadi kizazi cha Instagram nacho wafahamu!!
 
kwani ni wapi alionyesha anataka kuwa main chick mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]enzi za kuzaa ili umshike mwanaume zilipendwa!!
 
Ingekua diamond hajaoa ningeongea kama tu alikua anaenda kuoa mke tofaut na hamisa.
 
Umemaliza, team zari na domo sijui wanaumia nini ktk hili wakati mond hakubakwa ati!!!
 
Wanaomrushia vijembe hamisa Hamna lolote,tabia kama za zari, diamond na mama yake ni balaa ni za kuigwa??
MTU kama zari kumwacha Mme na mibaba mitatu akaja kumbemenda ndogo wake diamond not aibu iliyoje?
Si ndio hapo!! Wanamuona zari malaika ati!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…