Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kazi kubwa, halafu malipo kudhalilishwa.
Ila kahamisa kalivyo kadogo kanafanya Wema aonekane sugar mami kwa Diamond.
Ni mrembo.
Diamond bado yuko katika ziara yake ya kitalii wa ndani katika mbuga za miili ya kina dada.
Kwa muda sasa nguli huyu asiye na mpinzani Afrika mashariki na anayeanza kugusa anga za magharibi mwa Afrika amekua na uhusiano na binti mwenye urembo wa ajabu ajulikanaye kama Hamisa aka Hamisa mabeto.
Habari za uhakika ni kwamba moyo wa Diamond umekufa umeoza kwa binti Hamisa ila kwa ajili ya kick za kibiashara Diamond anapenda watanzania wajue kuwa yuko na madam Wema Sepetu.
Habari kuwa Diamond haongi na ni bahili si za kweli kwani kijana amegharamika sana kwa binti Hamisa Mabeto ikiwa ni pamoja na kumpangishia binti huyo nyumba ya gharama.
Ujumbe wangu kwa Diamond,ukimwi upo na unaua.
Si ndo wanasema anashindana na demu wa prezoo picha za ajabuajabu huko kenya huyu demu?
Huyu binti bada Ni bikira?.
Wema ana kazi.nasikia Huyu hadi mamamkwe anamkubali. bonus tena
wa kawaida sana.... atasubiri sana na photoshopu zake.
Hata mie namuona wa kawaida hatishi sanaa labda kapendezaa kukaa uchii maana hapo na make up zinambebaa
Kwani mama mtu ana ndoa? nasikia mwenyewe wa serengeti boys tu, siku hizi naona kimavazi kabadilika mwanzoni alikuwa anapiga mavazi ya kista duu hadi aibu. nahisi wa karibu yake walimsema walau siku hizi anatoka kama mmamaMama mkwe nae huyo chakubimbi kama mwanawe hana lolotee angekua na adabu mwanae asingekua anampelekeaa wanawake tofauti kila kukichaa
LIKE MOTHER LIKE SON
Sijui hata watu wamesifia nini..sema uzuri uko machoni pa mtu, still Wema yuko juu (sema tu alivyojikoroga ndo aliharibu)
Mama mkwe nae huyo chakubimbi kama mwanawe hana lolotee angekua na adabu mwanae asingekua anampelekeaa wanawake tofauti kila kukichaa
LIKE MOTHER LIKE SON
Ni mzuri bwana kabichii
Ni mzuri bwana kabichii
Sijui hata watu wamesifia nini..sema uzuri uko machoni pa mtu, still Wema yuko juu (sema tu alivyojikoroga ndo aliharibu)