Hamisa Mabeto,kifaa kipya cha Diamond pPatnumz

Kwa picha zile hata mimi nlimtamani,ila asisahau yalomkuta mr nice
 
Tena kazi kubwa, halafu malipo kudhalilishwa.
Ila kahamisa kalivyo kadogo kanafanya Wema aonekane sugar mami kwa Diamond.

Yaan kampiku Wemaa wacha Movie iendeleeeeee
 
kamdomo plus lidomo unapata mdogo.ni ishu ya kutafuta average tu.
 
MKuu namuonaga instagram ni Hamisa MObeto
 
Si ndo wanasema anashindana na demu wa prezoo picha za ajabuajabu huko kenya huyu demu?
 
Huyu binti bada Ni bikira?.
 
Wema ana kazi.nasikia Huyu hadi mamamkwe anamkubali. bonus tena

Mama mkwe nae huyo chakubimbi kama mwanawe hana lolotee angekua na adabu mwanae asingekua anampelekeaa wanawake tofauti kila kukichaa
LIKE MOTHER LIKE SON
 
Hata mie namuona wa kawaida hatishi sanaa labda kapendezaa kukaa uchii maana hapo na make up zinambebaa

Sijui hata watu wamesifia nini..sema uzuri uko machoni pa mtu, still Wema yuko juu (sema tu alivyojikoroga ndo aliharibu)
 
Mama mkwe nae huyo chakubimbi kama mwanawe hana lolotee angekua na adabu mwanae asingekua anampelekeaa wanawake tofauti kila kukichaa
LIKE MOTHER LIKE SON
Kwani mama mtu ana ndoa? nasikia mwenyewe wa serengeti boys tu, siku hizi naona kimavazi kabadilika mwanzoni alikuwa anapiga mavazi ya kista duu hadi aibu. nahisi wa karibu yake walimsema walau siku hizi anatoka kama mmama
 
Mama mkwe nae huyo chakubimbi kama mwanawe hana lolotee angekua na adabu mwanae asingekua anampelekeaa wanawake tofauti kila kukichaa
LIKE MOTHER LIKE SON

Uswazi uswazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…