father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
Father xmas umeniua mbaya. mm nilimwona wakawaida ila hiyo picha yenye bikin ndio nimempa uhalali wote. Kama vip tuiweke kwenye noti ya shillingi Elfu Tano ya Tanzania
Acha tu baba.
Wazo lako zuri,ila naapa wakimweka kwenye noti feki naingia porini kuanzisha vita vya kikabila.