Hamisa Mabeto na fahari ya kuzaa na mume wa mtu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
Nimeamini ule usemi "adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake"
We jiulize ushawahi kumuona mwanaume anajisifia amezaa na mwanamke wa fulani?unajua kwa sababu gani ?simply ni aibu na inashusha utu wako

Njaa ni kitu kibaya sana utegemezi unafanya mtu adhalilike au kuna uhaba wa wanaume kiasi hiki?

Watu ambao wamekulia maisha ya single mother usim judge vibaya baba yako he might be innocent kama mambo yenyewe ndio haya

NB:
Hamisa ni mama mwenye mtoto mmoja tayari (single mother) kabla hajafanya maamuzi yakuzaa mtoto huyu mwingine (babaless)
A mistake is made once ukirudia inakua choice ,my focus ni kwa mtoto ambaye ni victim wa decision za wazazi (pandora box)
 
Mkuu siku hz ni kawaida tu... Zaman bnt kuzaa kwao ilkua aibu siku hz anazaliwa wa kwanza, wa pili hadi wa mwsho.... Ndo dunia tulyonayo nayo so we pambana na hali yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…