Hamisa Mabeto na fahari ya kuzaa na mume wa mtu

Kwan Diamond kaoa lini??
Hujui mwanaume anaruhusiwa wake wanne, ni uwezo wake tu wakuwahudumia kimwili na mahitaji.
 
Kwan Diamond kaoa lini??
Hujui mwanaume anaruhusiwa wake wanne, ni uwezo wake tu wakuwahudumia kimwili na mahitaji.
Mimi sijakataa ila unajisikiaje kile unachokimiliki wewe asilimia kubwa anatokea mtu anakuambia nina percentage zangu very eagerly
 
Nani mume wa mtu aliyezaa na Hamisa?
 
Sikujua kama diamond kaoa ndiyo nimejua hapa, yaan kuzaa kwa hamissa kuna watu wanaumia mpaka basi!!

Hivi yeye ndiyo wa kwanza? Tena liwe funzo kwa wanawake wanaokaa mbali na wanaume zao

Mwanaume tanzania mke south alitegemea nini tena kwa mtu kama mond anaetazamwa na kina dada wengi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kula mtu ni habari ila mtu kula Simba ni habari ya kusisimua
 
Zari ni mke wa Diamond, watu msikariri.Siyo kila ndoa lazima ifungwe masikini au kanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mume wa mtu? Alafu nashangaa sana eti domo kazaa nje, ni lini domo aliwahi kuzaa ndani? Hao wote kawazalisha tu haramu hakuna kuzaa nje wala ndani
 
Zari ni mke wa Diamond, watu msikariri.Siyo kila ndoa lazima ifungwe masikini au kanisani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ndoa ipi? hata uchumba bado unasema mke[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo unabishana na mond aliesema anajiandaa kwenda kujitambulisha kwa baba zari?

Shikamoo wabongo mnamjua mtu kuliko anavyojijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa sikuhizi sijui wamekuwaje......yaani kila mtoto na baba yake .....hivi ni aibu gani mtakuja wapa watoto siku za usoni wakiwazia yaani mama alikuwa anagegedwa na wanaume tofauti.......yaani siku watoto wakipata akili tu ya kujua baya na zuri.....watajua kuwa mama yao alikuwa hajatulia

SONY Xperia Z5 Premium
 

Mwanamme ukimwona mwanamke mzuri ukampenda.
Then akakuambia mama yake Ni single mother, kimbia ufe. Single mother always watazaa single mother, chunguza unapoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…