Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hamisa ni mchepuko wa diamond
View attachment 181234
Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.
Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi.
Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na kila Mtanzania atamjua, alisema Hamisa.
hana lolote.kwao ndo utamuhurumia.hakuna hata tiles kutwa kwenye majumba ya wenzio.shame on her.hivi ana achievements gani huyu? au nyie mnamjua kwa lipi? umaarufu wake unatokana na nini???????????????