Hamisa Mobeto adai kutokuwa na mpenzi

Hamisa Mobeto adai kutokuwa na mpenzi

Huyu demu tatizo ana jipiga ma editings mno ana changanya changanya ma camera 360 mara ma saturation, contrast, shadow watu waki muona wana paaaagawa.. yeye mwenyewe alisha sema she doesn't care 360 milele... ndio yule wa kwenye video ya abdukiba --hatuna habari nao...ndio muone kama ni mweupe au mweusi?
 
Hamisa ni mchepuko wa diamond

its true diamond alipiga piga pale... huyu demu alikua anakaa hapa knyama karibu na kanisa la kkt chuo cha teofilo kisanji... na tumemshuhudia diamond akimuijia usiku mara kadhaa
 
View attachment 181234

Modo maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.

“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi.

Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na kila Mtanzania atamjua,” alisema Hamisa.

Pyuuu wasanii wa bongo ni kichefuchefu kwa uongo na unafiki
 
Huyu analiwa na mwanangu mmoja hv sio star wala nn yupo kino
 
Back
Top Bottom