Hamisa mobeto amepata mpezi mzuri dunia nzima

Hamisa mobeto amepata mpezi mzuri dunia nzima

Hapa unamaanisha uzur wa sura au??

Kama unasifia mwanaume kwa kigezo cha sura na umbo unakosea sana....

Mwanaume anasifiwa kutokana na utendaj kaz wake nikimaanisha akili ya maisha
 
Mbona wa kawaida hata kwa macho yangu yenye makengeza naona hilo. Mwanaume mzuri ni mume wako hao wengine mali za watu , Dada yangu
 
Huyu kijana hamisa amemtoa wapi jamani mbona mzuri hivi?
Akija nae bongo itabidi akapokelewe airport
Huyo anaongezewa kilometa tu, mwanaume kama yule mwenye uwezo wa kupata mtoto shombeshombe tena bikra, hawezi oa mwanamke used kiasi kile,MARK MY WORDS.
Mwanamke kazalishwa watoto wawili,baba tofauti, kila kitu ni feki mwilini, kutembea na hata kuongea,afu jamaa aoe, labda kama amelogwa
 
Kabisa naona Mnigeria hajapata profile la MABETO,akija kupata profile lake lazima amteme na bado hajapima "MIWAYA" maana namba alizopita mabeto zote namba "CHAFU".
 
Hana tofauti na kina calisah.
#wanaume_dar
Screenshot_20181118-094142.jpeg
 
Kabisa naona Mnigeria hajapata profile la MABETO,akija kupata profile lake lazima amteme na bado hajapima "MIWAYA" maana namba alizopita mabeto zote namba "CHAFU".
Kwana hanyonyi chuchu au bi mdashi mda wote anakua na bra? Make lazma atakua ananukia maziwa.
 
Kwana hanyonyi chuchu au bi mdashi mda wote anakua na bra? Make lazma atakua ananukia maziwa.
Mmmhh wanawake wa mjini ngumu kunukia maziwa maana wana manukato ya kila aina wanatumia hadi za kuondoa harufu za maziwa wakati unanyonyesha!!
 
Heheheehe.......kwenye rekodi za wanaume wazuri dunia nzima hakuna mwafrika aliyewahi chukua nafasi ya kwanza.....so jamaa sio mzur dunia nzma....kuna mshikaj wa uarabuni alkuwa mzuri had ikaamuliwa afukuzwe nchini kwake maana mademu wanaomtaka n wengi sasa huyu kaangukia singo mother mwenye watoto wawili then useme mzur dunia nzma khaaa...usikute kalogwa maana hamisa na uchawi ndio mahala pake
 
Back
Top Bottom