Hamisa Mobeto amtaka Kajala kumwomba msamaha na kufuta ujumbe wa Instagram ndani ya saa 12

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mji umezidi kuwa mzito aisee mwanadada Hamisa Mobeto ameandika barua ya kumshitaki Kajala kwa kutoa tuhuma za uongo kwenye post yake aliyopost hivi karibu. Kamwambia Kama atamuomba radhi kwa public na kutofuta ujumbe huo wa tuhuma dhidi yake ndani ya masaa 12 atamfungulia kesi ya kuchafua brand yake.

NB: Kajala vitu vingine angekausha hela atakayoenda kukamuliwa hapo Kama atatii amri na ukichanganya na ukiherehere wa Bwana wake kondeboy utawatokea puani.


 
Mbona uzi hujautendea haki mkuu...

Anyways for more informations piteni sns hapa barua iko wazi
Sema kajala kazi anayo [emoji3]

 
Atakayechapika ni Mmakonde , si amejifanya mjuaji , mara paap Kajala anasema mi simu yangu aliichukua konde boy nikiwa bafuni narudi nakuta amepost na ameing'ang'ania mpak sa hv ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Konde boy mavi yanagonga chupi yanarudi..... Tunahitaj one billion cash , huwez chafua brand ya mtu kidenzi namna hiyo๐Ÿคช๐Ÿคช๐Ÿƒ
 
Ndiyo maana Sheria inatutaka simu iwe na nywila, uko responsible na kile kinachotokea kwenye akaunti yako haijalishi Kama simu imeibiwa. Ila konde kachafua Sana jamaa mnafiki Sana Pfunk baba mzazi kapiga kimya yeye mstari wa mbele.
 
Huu unaoitwa usupastaa kwa maoni yangu ni ujinga.wengine tukiwa hatutaki tujulikane hata kwenye mitaa tunayoishi wengine wanataka kila siku wazue vioja mitandaoni kujiboost
 
Bado rayvanny hajampelekea nae barua๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ atakoma๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Picha limeanza anza sasa.. hapo pa kuambiwa aombe msamaha public na kufuta bango lake.. ni patamu sanaaaaa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. niongezeee gahawa tu.. hapa sitoki
 
Sikiliza wimbo wa konde boy -anajikosha
Wimbo mtam sana
 
Picha limeanza anza sasa.. hapo pa kuambiwa aombe msamaha public na kufuta bango lake.. ni patamu sanaaaaa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.. niongezeee gahawa tu.. hapa sitoki
Mkuu nimebakiwa na juisi ya pilipili tu, vipi unatumiaga๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, hata hivi ilikuwa ni order ya mjomba nchumari๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mkuu nimebakiwa na juisi ya pilipili tu, vipi unatumiaga๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, hata hivi ilikuwa ni order ya mjomba nchumari๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hiyo juice ya pilipili mpe Njomba Nchumali tu.. itampendeza sanaaa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ