Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Evidence law,,inataka shutuma za kajala zipate shahidi ili kuziprove right,,sasa kuna shahidi mwenye nguvu katika ishu hii zaidi ya paul..?Kwahiyo Paula akishasema tu ama kukili kuwa alinyweshwa bia na Hamisa kesi inakuwa imeshaisha na Hamisa atatakiwa kulipa mkwanja mrefu!?
Chief, umesomea sheria chuo gani?
Hamisa anadai,nguo alizovaa paul siku hiyo ni tofauti na za kwenye audio visual,lakini hana ushahidi,,
Anadai alimtoa paul out na kumrudisha kwa mamake,je anao ushahidi,,,na kama ni kweli,,haiondoi uwezekano kuwa alimrudisha baada ya kuwa amebakwa