Hamisa Mobeto amtaka Kajala kumwomba msamaha na kufuta ujumbe wa Instagram ndani ya saa 12

Kwahiyo Paula akishasema tu ama kukili kuwa alinyweshwa bia na Hamisa kesi inakuwa imeshaisha na Hamisa atatakiwa kulipa mkwanja mrefu!?
Chief, umesomea sheria chuo gani?
Evidence law,,inataka shutuma za kajala zipate shahidi ili kuziprove right,,sasa kuna shahidi mwenye nguvu katika ishu hii zaidi ya paul..?
Hamisa anadai,nguo alizovaa paul siku hiyo ni tofauti na za kwenye audio visual,lakini hana ushahidi,,
Anadai alimtoa paul out na kumrudisha kwa mamake,je anao ushahidi,,,na kama ni kweli,,haiondoi uwezekano kuwa alimrudisha baada ya kuwa amebakwa
 
Huyo kajala maisha yake kudanga mpka na wajinga,hela hana mpka auze mbuchuchu
 
Ningekuwa wakili wa kajala,namshauri tu paulo akiri kuwa alinyweshwa bia na kurubuniwa na hamisa na huyo mwenzake,,case closed na kibao kinamgeukia hamisa na yeye ndo atalipa mkwanja mrefu ili kuyamaliza nje ya mahakama..

Ila bifu litakalolipuka hapo ni la kimataifa
 
Unajisikiaje ukisoma Hizi pumba ulizoandika?
 
Rais kasema watumie Kiswahili..

Hakuna atayewaelewa. BushLawyers...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…