Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

Unafanya mchezo kuachwa eeh???bibie anatapatapa tu hapo yote ni machungu

Ooo yeahh ukifika muda wa kuoa wanaume huangaliaaa yupi mwenye tabia njema sio shape,shape hata kabati inayo
 
Huyo bwana kamuoa mdada wa kiarabu mzuri balaa,labda kwa hamisa alikua anachepuka tuu
 
Majey kwa kutangaza uchumba wala haoni shida. Alimtangazia Nargis na akamtosa baada ya muda.
Tena nakumbuka alimchukua Nargis toka kwa Masoud Kipanya ambaye alimuacha mkewe ili amuoe Nargis, ndo akapigwa bao na Majey.
Ova

Kiongozi, hizi habari naziitaga classified news...!!
 
Huyo bwana kamuoa mdada wa kiarabu mzuri balaa,labda kwa hamisa alikua anachepuka tuu

Si unajua waarabu hutafutiwa wake na wanasikiliza kweli wazazi wao
 
Mdakuzi

Mbona Nargis anajifanya ana furaha saaana am happy for u guys na mambo kibao mdumu milele... kumbe alifanyiwa pata potea na DJ

Heheheee.. Eti pata potea..!!
She ran away from a dog, only to land in the jaws of a jackal
 
Last edited by a moderator:
Mdakuzi

Mbona Nargis anajifanya ana furaha saaana am happy for u guys na mambo kibao mdumu milele... kumbe alifanyiwa pata potea na DJ

Kama kawaambia hivyo ujue amemaanisha sana. Ni kama anawaambia najua hamtafika mbali. Ujue Majay alibadili hadi dini wakati yuko na Nargis akaanza kutumia jina la Rashid. Vitoto kibao kavichapa chapa, labda Khamisa ndio aamue kufanya kweli maana umri nao ndio ushasogea.
Ova
 
Hamisa ni kicheche eee

Wakati anashiriki katika Miss XXL Back to School Bash 2011 ya akina B12 watu wa Clouds walipokeza sana kukigonga hichi kitoto. Kama kei ingekuwa inaziba kwa kadri demu anavyogongwa, basi hadi wakati huu angekuwa na kichuguu tu.

Hhhhaaaaa
 
nilijua tu vitoto vya tandika vimalayamalaya tu( am sory no tafsida)
na ukute katoa sana kunnua jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…