Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

Mmh!! Mademu wakali wanachukuliwaga na watu wa ajabu

yaani sijui kwa nini.ila ndege mjanja lazima anase kwenye tundu.angali kina mdee jokate wema...yaani wanafunulia kama tu kama dailynews
 
Kama kawaambia hivyo ujue amemaanisha sana. Ni kama anawaambia najua hamtafika mbali. Ujue Majay alibadili hadi dini wakati yuko na Nargis akaanza kutumia jina la Rashid. Vitoto kibao kavichapa chapa, labda Khamisa ndio aamue kufanya kweli maana umri nao ndio ushasogea.
Ova

Hahahaaaa unamjua sana hamisa inaonekana
 
Kama kawaambia hivyo ujue amemaanisha sana. Ni kama anawaambia najua hamtafika mbali. Ujue Majay alibadili hadi dini wakati yuko na Nargis akaanza kutumia jina la Rashid. Vitoto kibao kavichapa chapa, labda Khamisa ndio aamue kufanya kweli maana umri nao ndio ushasogea.
Ova

Siyo kweli. .majey hajawahi kubadili dini hilo rashid ndo jina lake alilopewa kwao umakondeni kabla hajahamia mjini kuendelea na kazi yake ya ufundi cherehani aliyorithishwa kwao ambapo aliendelea nayo mitaa ya kinondoni garden mitaa ya bonga na yeye alikuwa anakaa ccm kambangwa kwenye chumba kimoja nyumbani kwa bibi wa kizaramo bi mbegu. ..kwa kukosa aibu alijitangaza ni mtoto wa mzee siza ambaye ndo baba wa kookoo mmiliki wa maisha club. ..ushkaji wake wa karibu na kookoo ndo umempa shavu mjini
 
Huyu dada akipiga picha mzuri kweli umuone anaongea sasa.ka mdomo sijui kanakaaje,ila ana umbo zuriiiii sio.kama kina mdee

nilifikiri ni mimi tu anaeniboa na kamdomo kake, alafu ndio kashakuwa kilema, mwenyewe anadhani kukapindisha pindisha vile ndo anapendezea.
 
PAULA meno hayajalingana yaan ya juu yapo mbele zaidi plus kamdomo duuu hhhhhaaa
 
Last edited by a moderator:

hahahahahaa now i can figure out, poor dental formula is the result of this bad shape of kimdomo, she cannot swallow the bakresa very well, ama kwenye Mungu hakupi vyote
 
Last edited by a moderator:
Siyo kweli. .majey hajawahi kubadili dini hilo rashid ndo jina lake alilopewa kwao umakondeni kabla hajahamia mjini kuendelea na kazi yake ya ufundi cherehani aliyorithishwa kwao ambapo aliendelea nayo mitaa ya kinondoni garden mitaa ya bonga na yeye alikuwa anakaa ccm kambangwa kwenye chumba kimoja nyumbani kwa bibi wa kizaramo bi mbegu. ..kwa kukosa aibu alijitangaza ni mtoto wa mzee siza ambaye ndo baba wa kookoo mmiliki wa maisha club. ..ushkaji wake wa karibu na kookoo ndo umempa shavu mjini

We ndio unamjua kwa undani majey aiseee....,
 
Basi Majey aliwahi kutumia jina la Francis, akiwa kwenye imani inayoendana na jina hilo. Na hata ushikaji wake na Mama Sweya ulimpa shavu tangu enzi za Kwafujo Djs na Likizo Tym. Ila jamaa ni mpiganaji namkubali sana katika kuzisaka.

kumbeeee
majizo for shizzle nawezaaaa
jf ni zaidi ya gugo
 
Siyo kweli. .majey hajawahi kubadili dini hilo rashid ndo jina lake alilopewa kwao umakondeni kabla hajahamia mjini kuendelea na kazi yake ya ufundi cherehani aliyorithishwa kwao ambapo aliendelea nayo mitaa ya kinondoni garden mitaa ya bonga na yeye alikuwa anakaa ccm kambangwa kwenye chumba kimoja nyumbani kwa bibi wa kizaramo bi mbegu. ..kwa kukosa aibu alijitangaza ni mtoto wa mzee siza ambaye ndo baba wa kookoo mmiliki wa maisha club. ..ushkaji wake wa karibu na kookoo ndo umempa shavu mjini

Mkuu Muuza Sura huwa unatiririka mno!!!!!Dah kula TANOMuuza Sura
 
Basi Majey aliwahi kutumia jina la Francis, akiwa kwenye imani inayoendana na jina hilo. Na hata ushikaji wake na Mama Sweya ulimpa shavu tangu enzi za Kwafujo Djs na Likizo Tym. Ila jamaa ni mpiganaji namkubali sana katika kuzisaka.
Ova

Hivi si ndio uyu uko Facebook anatumia jina "SETH DE JESUS" ama sie??????
 
Ukiona mwanamke anatangaza kutakua na ndoa...jua hakuna ndoa hapo...kihebehebe tu cha kuolewa na wakati papuchi anagawa ovyo..marriage my ass😎
 
Back
Top Bottom