Mmh!! Mademu wakali wanachukuliwaga na watu wa ajabu
yaani sijui kwa nini.ila ndege mjanja lazima anase kwenye tundu.angali kina mdee jokate wema...yaani wanafunulia kama tu kama dailynews
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh!! Mademu wakali wanachukuliwaga na watu wa ajabu
nilijua tu vitoto vya tandika vimalayamalaya tu( am sory no tafsida)
na ukute katoa sana kunnua jina
Hivi wema ni wa ushuani etii??
Wema mtoto wa sinza meeda pale karibu na danguro la malaya, yeye ndo boss wao
Kama kawaambia hivyo ujue amemaanisha sana. Ni kama anawaambia najua hamtafika mbali. Ujue Majay alibadili hadi dini wakati yuko na Nargis akaanza kutumia jina la Rashid. Vitoto kibao kavichapa chapa, labda Khamisa ndio aamue kufanya kweli maana umri nao ndio ushasogea.
Ova

Huyu dada akipiga picha mzuri kweli umuone anaongea sasa.ka mdomo sijui kanakaaje,ila ana umbo zuriiiii sio.kama kina mdee
Na lile shepu akaachwaaaa we usiniambieeee
PAULA meno hayajalingana yaan ya juu yapo mbele zaidi plus kamdomo duuu hhhhhaaa
hahahahahaa now i can figure out, poor dental formula is the result of this bad shape of kimdomo, she cannot swallow the bakresa very well, ama kwenye Mungu hakupi vyote
Siyo kweli. .majey hajawahi kubadili dini hilo rashid ndo jina lake alilopewa kwao umakondeni kabla hajahamia mjini kuendelea na kazi yake ya ufundi cherehani aliyorithishwa kwao ambapo aliendelea nayo mitaa ya kinondoni garden mitaa ya bonga na yeye alikuwa anakaa ccm kambangwa kwenye chumba kimoja nyumbani kwa bibi wa kizaramo bi mbegu. ..kwa kukosa aibu alijitangaza ni mtoto wa mzee siza ambaye ndo baba wa kookoo mmiliki wa maisha club. ..ushkaji wake wa karibu na kookoo ndo umempa shavu mjini
We ndio unamjua kwa undani majey aiseee....,

Mwanaume hasifiwi sura......,
Kama ni provider na anakusugua vizuri pale kati yatoshaaa.
Siyo kweli. .majey hajawahi kubadili dini hilo rashid ndo jina lake alilopewa kwao umakondeni kabla hajahamia mjini kuendelea na kazi yake ya ufundi cherehani aliyorithishwa kwao ambapo aliendelea nayo mitaa ya kinondoni garden mitaa ya bonga na yeye alikuwa anakaa ccm kambangwa kwenye chumba kimoja nyumbani kwa bibi wa kizaramo bi mbegu. ..kwa kukosa aibu alijitangaza ni mtoto wa mzee siza ambaye ndo baba wa kookoo mmiliki wa maisha club. ..ushkaji wake wa karibu na kookoo ndo umempa shavu mjini
Basi Majey aliwahi kutumia jina la Francis, akiwa kwenye imani inayoendana na jina hilo. Na hata ushikaji wake na Mama Sweya ulimpa shavu tangu enzi za Kwafujo Djs na Likizo Tym. Ila jamaa ni mpiganaji namkubali sana katika kuzisaka.
Ova
Hivi si ndio uyu uko Facebook anatumia jina "SETH DE JESUS" ama sie??????