Hamisa Mobeto amuanika mchumba wake

Huyu dada akipiga picha mzuri kweli umuone anaongea sasa.ka mdomo sijui kanakaaje,ila ana umbo zuriiiii sio.kama kina mdee

Dinazarde huyu si ndio yuko kwenye movie ya Chausiku.
Yaani mdomo wake umekaa kama mkund anavyoongea.......
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde huyu si ndio yuko kwenye movie ya Chausiku.
Yaani mdomo wake umekaa kama mkund anavyoongea.......

Hhhhhhhaaaa jamaniii Madame B ndio huyu huyuu halaf kidogo awe na meno ya ngirii yale ya kutokeza nje si ulimuona alivyokua anaongeaa
 
Last edited by a moderator:
Shoga ubuyu sina...niko kwa bed tumbo la uchungu limenikamata.
Mzima lakini

Polee,niko poaaaaa umeliona tangazo la Warumi foundation ni.kuwadi wa kutafutia wanaotaka madanga ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…