Hamisa Mobeto ana mchango gani kwenye sekta ya madini? Wizara ya Madini mjitafakari sana kuelekea TMIC2024

Hao bongo fleva na bongo muvi ndio kundi linaongoza kwa kukosa maadili.
Wanaongoza kwa Umalaya wanawake kwa wanaume ?!
Halafu wanapewa kipaombele cha kwenda Korea Sijui wapi ?!
Hela hizo afadhali zijenge mabweni ya Shule au barabara ya Dar kwenda Chalinze double road walau
 
Wamesema atakuwepo kufanya nini ? Siwezi kupinga kabla ya kujua uwepo wake..., Kama ni kutoa lecture ya uchimbaji bora wa madini na uzingatiaji wa mazingira nadhani itakuwa wamekosea...., Lakini kama labda ni kuonyesha jinsi vito vinavyoweza kutumika kama cosmetics sidhani kama kuna kosa
 
Wanaiga kwa mama aliyebeba lundo la wasanii kwenda nao huko korea
 
Elimu inafaida gani Tanzania jamani? Jenista Mhagama ni waziri wa Afya lakini ana certificate ya ualimu toka Korogwe Teachers College. Elimu yake inamsaidiaje kuendesha wizara ya Afya?
Sio kwa form 4 mbovu ya mwanamitindo
 
Elimu inafaida gani Tanzania jamani? Jenista Mhagama ni waziri wa Afya lakini ana certificate ya ualimu toka Korogwe Teachers College. Elimu yake inamsaidiaje kuendesha wizara ya Afya?

Kumbeee ?!
Mtumee 🙆‍♂️🤦‍♀️
 
Hivi kweli jamani imeshikana kupata Waziri mwenye weledi wa mambo ya kitabibu na kuteuliwa kuongoza wizara ya afya badała ya kuleta mtu mwenye Sifa ya cheti ya ualimu ndio awe mbeba maono ya wizara ya afya kwa Tafa hili kwa sasa na vizazi vijavyo ??
Hivi tuko serious kweli ?? 😭😭

Kumbe tatizo la uongozi huenda ni kubwa kuliko tunavyozani ??
 
KUna form 4 mbovu zaidi yake ziko serikalini na sehemu nyeti, nchi hii elimu kigezo kwa mtoto wa masikini tu, fukua mafaili yao uone uozo uliopo.
Form 4 gani nzuri?
Mwanamitindo hapo ndio ilikuwa mwisho wa elimu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…