Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Kasoma tandika sekondari unategemea nini..
Mamake mwenyewe kahaba ..unategemea nini...na alimzaa hamisa akiwa under 18 unategemea nn...maji hufata mkondo..
Nachukia sana wasichana wasiojitambua
shughuli ipo
 
Hamisa wenyewe mbayaaa kama Diamond
 
Watoto wa Malaya hua Malaya na huzaa Malaya huu ni muendelezo
 
Kabisaaa,ila nlikaona kajinga fulani hv
Mtt wa kwanza ukaachiwa unakuja zaa tena na mume wa mwenzako halaf kanachekelea tu
Tena mtoto wake hajafika hata 3years lol!
 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake

Ni suala la kujielewa na kuitambua thamani yako. Kumbuka wakati Zari ana mimba kubwa ya kujifungua Prince Nillan Hamisa nae alikua na mimba changa. Hao wanawake wote wawili ni gold diggers
 
Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake

Acha kusema ndugu yangu, wanawake wa siku hizi umri ukiwa unaenda bila yakuwa na wanaume wakumuoa, hua wanaamua kumuganda mwanaume yoyote tu, anakutegea siku za hatari unaachia risasi zako,baada ya siku mbili unakuja ambiwa nina mimba yako, ukicheck home wife msala,unaamua kulea mimba kimya kimya, mtoto akizaliwa, kama uliyezaa naye ni fyatu anaanza matangazo, lakini kama ni mkimya, hakuna wakujua labda hawa ma super star wa bongo... mimi nimezaa na mdada mmoja hivi anafanya kazi taasisi kubwa tu serikalini, na wife wala hajui and tumezaa mapacha na watoto tumewapa majina yangu kabisa kwa mfano Jackson Edward.

Huyo dada nilijaribu kumuomba game akajaa mzima mzima,nikamwambia nina mke, akasema naomba tu nizae na wewe, kwan hapa nilipo now nina 28 and sioni dalili zakuolewa na mwanaume yoyote, so please naomba tuzae tu and sitakua msumbufu kwa ndoa yako...

Nilipopiga game kama tatu, mbili hivi kitu na box, so imeback kua siri yangu na yeye tu
 
Aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…