Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?

5731977479656025638

Me siku ya kwanza kuona picha kabla ya kusoma tangazo lenyewe nilijua ni tangazo la Bongo Movie kumbe ni Institute duuuh
 
Hamisa Mobetto amempa mtoto wake jina la Abdul Naseeb. Jina ambalo limeanza kumaliza maswali mengi ya mashabiki ambao walitaka kumjua baba wa mtoto huyo.

Jina hilo ni la Babu yake anayeitwa Abdul. Jina la Diamond ni Naseeb Abdul.

Last week, kamera za Shilawadu ziliinasa familia ya Diamond ikiwa hospitali aliyokuwepo Hamissa baada ya kujifungua, soma VIDEO: Mama yake Diamond Platnumz alimtembelea Hamisa Mobeto hospitalini

KWAIYO MWANAMKE AKIMWITA MWANAE ABDUL NDO ATAKUA KAZAA NA DIAMOND AU? SIJAELEWA
 
Raha ya mume umjue mke mwenzio! tena ukimjua unajichetua haswaa,safi Hamisa komaa na hali yako bibie.ukizaa wapil muite Esmaplatinumz. Uzalendo nyumbani kwanza.
 
Sasa wewe ulitaka mtoto amtupe....kama umri unamruhusu na kajisikia kuzaa kwa nini asizae kwani dunia nzima watoto wote mama zao wameolewa acha ujinga pambana na haliyako......sembuse mumeo nae uko kazaa nje. Wewe umeona kuvua chup tu wale ni wasanii waache waishi kisanii wewe kwani inakuuma nini.

Kumbuka pia Diamond hajakuli wala hamisa hajakili ni mambo ya mtandao tu sasa sijui pov la nini mwacheni yeye sio wa kwanza kuzaa nje ya ndoa nyi wenyew mliondani ya ndoa mnalia kilasiku daadek Uganda Baby Vs Tanzania Baby
Replay uliyo iquote na haya maelezo yako uliyo yatoa mbona hayaendani.

-Ndumilakuwili-
 
Raha ya mume umjue mke mwenzio! tena ukimjua unajichetua haswaa,safi Hamisa komaa na hali yako bibie.ukizaa wapil muite Esmaplatinumz. Uzalendo nyumbani kwanza.
[emoji13] no watatu ataza na mwanaume gani sjui.

Maana kama kambuzi.[emoji188] [emoji188]
 
Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?

5731977479656025638
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo mtoto siyo wa,kwangu kweli?
We Hamisa acha kugawa mtoto wangu.. .!
 
Na inawezekana haya yote yamepangwa na zari,hamisa,diamond na familia yake wakaisuka vizuri tu mda huu wanacheka tu WhatsApp kwa kuwafanya watanzania wajinga
 
Nisichokipenda kwenye hili ni usaliti, chuki, na unafk ulioko kwa wanawake.

Hivi ndo kina mama mongella walienda kabisa Beijing kudai haki za wanawake.

Hivi mwanamke kama kweli hujjikomboa kwenye utumwa wa kifikra wa kupaatikia wanaume na kujipeleka kwenye gereza la kuzalishwa kama incubeta sijui utakombolewa na nani.

Ikiwa tunawaza kudhalilishana, kukomoana kudhani unamkomoa zari kumbe ndio unampa bichwa huyo diamond ajione kidume kinachogombewa. Huku kote kunawafanya wanaume watuone wanawake ni watu wasiopendana na hivyo kuwapa chance kutunyanyapaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom