wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?
![]()
Me siku ya kwanza kuona picha kabla ya kusoma tangazo lenyewe nilijua ni tangazo la Bongo Movie kumbe ni Institute duuuh