Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Wanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
Hongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
 
Namuonea huruma mwanamke mwenzangu. Wanaume hawa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
Nadhan huwa wanataka kujua huyo jamaa ana nini mbona wengi wanamfuata...nakumbuka zamani enzi zile ndo tumemaliza A-level hali ya maisha imetupiga ukimaliza May, kuingia chuo mpaka September mwaka unaofuata na sie damu inachemka na videiwaka uchwara vyetu ...tulikuwa tunapigwa vibuti ila unakuta msela mwingine kitaa anabadirisha leo huyu na kesho yule lakini bado walikuwa wanakwenda tu.

Nadhani wanahisi jamaa ni fundi hivyo kila demu anaona ngoja akajionee mwenyewe

Japokuwa tusifanye conclusion sana maana ni majina tu huenda amempa jina la Simba kumuenzi kutokana na yanayojiri...mbona kuna watu wanaitwa Nkwame Nkuruma lakini hawana vinasaba na mwenye jina
 
Naona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?

hahahahaha Mkuu umenichekesha sana sana,,,,,hahaha
 
Hivi kwenye hii ishu cha ajabu haswa ni nini? au wezangu mimi mshamba!!!!!? Yaani Amisa kuzaa na Diamond ni story???? ishiiiiiiiii kuna mengi ya kufanya jamani...

Sasa hapa ndio umeharibu, ungepita kimya kimya...na mwingine naye afanye hivyo na mwingine na mwingine na mwingine...mleta uzi angebaki mpweke...then tungesema yes, hili ishu halina chochote cha maana tuna yetu mengi ya kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…