Vupu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,769
- 1,248
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia niniWanawake tuna kazi kweli kweli binafsi sikuona kama amefanya jambo la maana may be kama kaahidiwa ndoa,sijui huwa naonaje kwangu,mwanamme tayari ana mwanamke mwingine na keshazaa nae halafu namm nijipeleke daaaaa anyway kila mtu na maamuzi yake
RI ANA ROHO NGUMU NA NI MKOROFImadale sio watu wa sport sport zari nae ana roho ngumu moto utawaka soon
[emoji106]Hivi kwenye hii ishu cha ajabu haswa ni nini? au wezangu mimi mshamba!!!!!? Yaani Amisa kuzaa na Diamond ni story???? ishiiiiiiiii kuna mengi ya kufanya jamani...
kama huyo wa dp ni wewe basi wewe ni mzuri nathubutu kunyanyua kinywa changu kusema WEWE NI MZURIAseee yaani ndipo unapojua Wanaume wote niwa mama mmoja same Ivan same diamond pole zari ,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
sana kuna ile clip alikuwa anabishana na king lawrence kabla ivan hajafa loh ni mbabe sanaZA
RI ANA ROHO NGUMU NA NI MKOROFI
shida yako ni nini hata kama ni member humu?
Kama yule akivyofanana na Ivan, hapo ngoma droo.Heheeh mi nasubiria tu ,maana daimond kakataa so tuone picha ,,halaf ndio inatokea wanafanana hatare na daimond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhan huwa wanataka kujua huyo jamaa ana nini mbona wengi wanamfuata...nakumbuka zamani enzi zile ndo tumemaliza A-level hali ya maisha imetupiga ukimaliza May, kuingia chuo mpaka September mwaka unaofuata na sie damu inachemka na videiwaka uchwara vyetu ...tulikuwa tunapigwa vibuti ila unakuta msela mwingine kitaa anabadirisha leo huyu na kesho yule lakini bado walikuwa wanakwenda tu.Hongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
Ahsante mkuuHongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
hahahahaha Mkuu umenichekesha sana sana,,,,,hahahaNaona hili tangazo la TANDABUI hapa Jamii Forums kila siku. Linasema bofya hapa, kinachonipa wasiwasi ni picha ya huyu jamaa, anaoneka mtu wa ndumu huyu. Hivi hii Institute ni kweli wako serious?
![]()
Hivi kwenye hii ishu cha ajabu haswa ni nini? au wezangu mimi mshamba!!!!!? Yaani Amisa kuzaa na Diamond ni story???? ishiiiiiiiii kuna mengi ya kufanya jamani...
songea moja hiyo
zari haondoki aende wapi? yupo kimaslahi tu pale.ungekuwa wewe ungeondoka?sioni jipya hapa zari anauwezo wa kuamua kukomaa au kuachana dai.. watu hawaelewi anaweza zalisha hata wanawake kumi na mama yake dai asimtake lakini zari akiamua kutokuondoka aondoki akili kichwani tu...