Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

hiyo ni fake acc...if u wanna prove ingia page ya hamisa mobetto utaona kuna picha katag acc ya mwanae na haina hata followers wengi

Nope alichofanya ka create new account leo, akaiita Tanzanian baby ndio maana unaona followers wachache halafu ile nyingine kabadili jina
 
halafu she feels so proud as if it is something normal,
wote yeye na zari ni wajinga tu.diamond ana familia yake na carieer yake wao wana nini zaidi ya kujichoresha kisa mitandao? huyo zari mamake kafariki kakubali kupigwa mapicha ya ngono badala amuombolezee mama yake.mwenzake mama yake anatibiwa india.alishindwa hata kutoa hela ya mama zari hadi akachangiwa na familia ya ivan
 
sijambo broh ,,ndo kardashian wa bongo etii niko siti za mbele kabisa ili niwahi kufika lol
Teh
haya utakuja kunisimulia maana nasoma soma dai dai na bosslady huyu mobet simjui.....
 
Teh
haya utakuja kunisimulia maana nasoma soma dai dai na bosslady huyu mobet simjui.....
kweli kaka wewe sio mdaslam kama mpaka hamisa humjui unaniabisha ni chakula flani ya dai,,yule video queen wa salome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…