Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
haha kwani akuepo toka alipo mfata mganda wa watu ,,ushetwain tuu unamsumbua mondi na leo page yake itakoma huko insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha kwani akuepo toka alipo mfata mganda wa watu ,,ushetwain tuu unamsumbua mondi na leo page yake itakoma huko insta
hiyo ni fake acc...if u wanna prove ingia page ya hamisa mobetto utaona kuna picha katag acc ya mwanae na haina hata followers wengi
sijambo broh ,,ndo kardashian wa bongo etii niko siti za mbele kabisa ili niwahi kufika lolSister haujambo?
Naona upo siti za mbele...
mume wa nani?Kabisaaa,ila nlikaona kajinga fulani hv
Mtt wa kwanza ukaachiwa unakuja zaa tena na mume wa mwenzako halaf kanachekelea tu
kuna kitu kipo nyuma ya pazia maana madale wapo na hamisa bega kwa begayaani me nafatilia movie kwa ukaribu kabisa hapa na popcon zangu
naamanisha ni mrwanda mkuu ,,sio blood daughterKagame ana mabinti wangapii
Kwani ni kweli mtoto wa dai
wote yeye na zari ni wajinga tu.diamond ana familia yake na carieer yake wao wana nini zaidi ya kujichoresha kisa mitandao? huyo zari mamake kafariki kakubali kupigwa mapicha ya ngono badala amuombolezee mama yake.mwenzake mama yake anatibiwa india.alishindwa hata kutoa hela ya mama zari hadi akachangiwa na familia ya ivanhalafu she feels so proud as if it is something normal,
Tehsijambo broh ,,ndo kardashian wa bongo etii niko siti za mbele kabisa ili niwahi kufika lol
hivi ukipata followers wengi nini hasa utakachoambulia
kweli kaka wewe sio mdaslam kama mpaka hamisa humjui unaniabisha ni chakula flani ya dai,,yule video queen wa salomeTeh
haya utakuja kunisimulia maana nasoma soma dai dai na bosslady huyu mobet simjui.....
Ngoja nikamchungulie... nimekumiss saana lknkweli kaka wewe sio mdaslam kama mpaka hamisa humjui unaniabisha ni chakula flani ya dai,,yule video queen wa salome
Msema kweli ni mpenzi wa mungu.mtoto wa kagame uyoo lol,,,,tunaogopa kueka sura zetu apa msije kuota usiku mnakimbizwa na mizuka
miss you too bro itabidi nije jirani na huko masaini ili tuonane jamani this year tho inshalaahNgoja nikamchungulie... nimekumiss saana lkn
😛😛
hiyo ni fake acc...if u wanna prove ingia page ya hamisa mobetto utaona kuna picha katag acc ya mwanae na haina hata followers wengi
Nyie na Mabeto sijui, ni Maraika...Aseee yaani ndipo unapojua Wanaume wote niwa mama mmoja same Ivan same diamond pole zari ,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app