Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
ngoja niendeKaangalie post ya mwisho ya hamisa kamtag abdulnaseeb_tz
Lol!!!bila shaka utakua team wema wewe,ila alienda Uganda kwa 7bu maalumu.haha kwani akuepo toka alipo mfata mganda wa watu ,,ushetwain tuu unamsumbua mondi na leo page yake itakoma huko insta
Fake everything....Kaangalie post ya mwisho ya hamisa kamtag abdulnaseeb_tz
Unishtue ukifikangoja niende
Ujinga tu, maana unazaa na mtu ambae hana hata possibility ya kukuoa. Khaaa.Hongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
mkuu hapa umetumia lugha gani nimeshindwa kukuelewa kabisaNyie na Mabeto sijui, ni Maraika...
Wa Mama mbalimbali.
hapana kwa kweli siwezi kuwa team isiyo jielewa ,,,me namuelewa zari sana she is a hard worker mom,,,,Lol!!!bila shaka utakua team wema wewe,ila alienda Uganda kwa 7bu maalumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo hajui baba wa mtoto ni nani!!??Huyo binti ana hangaika sana lakini sijui kwanini Diamond ana shindwa kumtambua..?
Mmmmh tangu lini Zari ni hardworking!!? Anadanga tuu kama wenzake..hapana kwa kweli siwezi kuwa team isiyo jielewa ,,,me namuelewa zari sana she is a hard worker mom,,,,
Hivi Diamond alifunga ndoa lini?Kabisaaa,ila nlikaona kajinga fulani hv
Mtt wa kwanza ukaachiwa unakuja zaa tena na mume wa mwenzako halaf kanachekelea tu
Sio fake dear hamisa kaitag kabisa hiyo acc ya mtoto wakehiyo ni fake acc...if u wanna prove ingia page ya hamisa mobetto utaona kuna picha katag acc ya mwanae na haina hata followers wengi
nawashangaa watu wanamlaumu diamond wakati hajafunga ndoa na mtu. huyo mganda na huyo hamisi wote vimada tu.sasa shida iko wapi? jamani ebu tuache kukuza mamboHivi Diamond alifunga ndoa lini?
Pambana na hali yako binti.. ππππππwote yeye na zari ni wajinga tu.diamond ana familia yake na carieer yake wao wana nini zaidi ya kujichoresha kisa mitandao? huyo zari mamake kafariki kakubali kupigwa mapicha ya ngono badala amuombolezee mama yake.mwenzake mama yake anatibiwa india.alishindwa hata kutoa hela ya mama zari hadi akachangiwa na familia ya ivan