Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Hamisa Mobeto athibitisha kuzaa na Diamond

Huyo binti ana hangaika sana lakini sijui kwanini Diamond ana shindwa kumtambua..?
 
Hongera sana binti kwa kujielewa.Nawashangaaga sana wanawake,sijui wanawazaga kwa kutumia nini
Ujinga tu, maana unazaa na mtu ambae hana hata possibility ya kukuoa. Khaaa.
 
hqdefault.jpg
maxresdefault.jpg
 
Hamisa anajua anachokifanya hawezi tu kuamua kumpa jina la baba ake diamond mtoto wake
 
wote yeye na zari ni wajinga tu.diamond ana familia yake na carieer yake wao wana nini zaidi ya kujichoresha kisa mitandao? huyo zari mamake kafariki kakubali kupigwa mapicha ya ngono badala amuombolezee mama yake.mwenzake mama yake anatibiwa india.alishindwa hata kutoa hela ya mama zari hadi akachangiwa na familia ya ivan
Pambana na hali yako binti.. 😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom