Watu wanakonektiana tu umeme kweupeee.....Billnas-Nandy-Ruge-Mabeto-Majizo-----GRIDI YA TANESCO.
hawajui mi kwako chiziWaambie umenipenda hivyo hivyo🤣🤣🤣🤣
I love you too my gossip babyWaambie hao, tatizo wivu unawasumbua tu , I love you too, watajibeba🤣🤣🤣
Kwamba dally kimoko anachezea gitaa?Billnas-Nandy-Ruge-Mabeto-Majizo-----GRIDI YA TANESCO.
Sasa umbeya huu malizia insta sio hukuSasa Mama tawile umetoka kwa diamond unaenda kwa billnass? Au ndo stress zinakusumbua? , na Nandy si ni shoga yako jaman ? Yani mastaa wa bongo kwa kushea ndo wanaona fashion , Ila shoga yangu umechacha, kutoka mrs dangote mpaka mpaka kwa balozi wa unga, kweli ukistaajabu ya musa.. mi nikajua utaenda kudate wanaume wa maana, akili zako zikakutuma udate na billnass? ,si unasemaga unatembea na mabwana wenye pesa wewe? Sasa billnass Ana pesa gani ? Mxieew hovyo
Watu wanakonektiana tu umeme kweupeee.....
Noma sana DRIDI ya TAIFA kama YOTE.Kwamba dally kimoko anachezea gitaa?
Nawewe ni kama huwa unalipwa kwa kusoma umbea wake hahahahWew kama vile huwaga unalipwa kwa umbea .. tanzania ya viwanda ... kwanza mkuu wewe ni admin wa magroup mangapi??
Hahaaa warumi hamnazo weweInategemea, kama unajua kukojoza ntakuvumilia tu , Ila sharti uniache nikadange 🤣🤣🤣
Hahaa mkuu hapo ukipigwa shoti tu " basiii baba jeni Byee byeeBillnas-Nandy-Ruge-Mabeto-Majizo-----GRIDI YA TANESCO.
hahaaEbu kajambe mbele uko mxiew umbea tu
Hatari ngoma ipo wazee.Hahaa mkuu hapo ukipigwa shoti tu " basiii baba jeni Byee byee
Bwahahaa haaa haaa
Dah !!,sure mkuu .. tuwe makiniHatari ngoma ipo wazee.