Hamisa Mobeto, Billnas mambo hadharani ...

Hamisa Mobeto, Billnas mambo hadharani ...

Lakini si anamjua Billnass mafioso??... asije akaanza kulalamika huko!... amuulize nandy tuu...
 
Leta vithibitisho tuone sio bla blaaaa nyiiingiii.. heri ya mobeto ba billnas kuliko wema na pck na dogo njanja...
 
Sasa Mama tawile umetoka kwa diamond unaenda kwa billnass? Au ndo stress zinakusumbua? , na Nandy si ni shoga yako jaman ? Yani mastaa wa bongo kwa kushea ndo wanaona fashion , Ila shoga yangu umechacha, kutoka mrs dangote mpaka mpaka kwa balozi wa unga, kweli ukistaajabu ya musa.. mi nikajua utaenda kudate wanaume wa maana, akili zako zikakutuma udate na billnass? ,si unasemaga unatembea na mabwana wenye pesa wewe? Sasa billnass Ana pesa gani ? Mxieew hovyo
Sasa umbeya huu malizia insta sio huku
 
Wew kama vile huwaga unalipwa kwa umbea .. tanzania ya viwanda ... kwanza mkuu wewe ni admin wa magroup mangapi??
Nawewe ni kama huwa unalipwa kwa kusoma umbea wake hahahah
 
Write your reply...
mar*inda ya mtu yapo hatarini hapa jamani, waokoaji mko wapi?
 
Back
Top Bottom