Hamisa Mobeto: Diamond anilitia gundu

Hamisa Mobeto: Diamond anilitia gundu

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
42999324_472745553216068_8263532632486318987_n.jpg

Mwanadada Hamisa Mobeto amekiri kuwa mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa gundu.

Hamisa alitoa kauli hiyo hivi karibuni kwa hoja kwamba katika kipindi chote cha uhusiano wao hakuwahi kupata madili mengi na ya maana kama ambayo anayapata sasa baada ya kutemana naye.

Akizungumza kwa njia ya simu Hamisa amesema tangu ameachana na Diamond ambaye alibahatika kupata naye mtoto mmoja wa kiume, amekuwa akipata madili mengi ya ndani na nje ya nchi ambayo hakuwahi kupata kipindi alipokuwa na jamaa huyo hali anayoitafsiri kama gundu.

“Unajua sasa hivi ninapata madili mengi hadi mimi mwenyewe nashangaa baraka zote hizi zilikuwa wapi tangu mwanzo mbona nilikuwa sipati.
Yaani utadhani nilikuwa na mtu ambaye alikuwa ananipa gundu, lakini sasa baada ya kumkwepa ndiyo gundu limenitoka,” alisema na kukata simu.

Hamisa amekuwa na mitifuano mbali mbali na familia ya Madale hadi kufikia hatua ya kupigwa na mamamkwe, kisa tu asionekane na jamaa huyo.

Lakini baada ya kuachana na Diamond, mwenyewe anadai amekuwa akipata madili mengi ndani na nje ya nchi na watu wengi wanampenda na kumshauri asirudiane na jamaa huyo maana ameshadhalilishwa vya kutosha.

STORI: Shamuma Awadhi, Dar
 
ukiachana na Mtu alafu ukawa unashindwa kumtoa kinywani/kumsahau....ilhali yeye alisha kusahau na hana habari tena na wewe..

My Brother/Sister .. you are in Big Trouble.
 
42999324_472745553216068_8263532632486318987_n.jpg

Mwanadada Hamisa Mobeto amekiri kuwa mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa gundu.

Hamisa alitoa kauli hiyo hivi karibuni kwa hoja kwamba katika kipindi chote cha uhusiano wao hakuwahi kupata madili mengi na ya maana kama ambayo anayapata sasa baada ya kutemana naye.

Akizungumza kwa njia ya simu Hamisa amesema tangu ameachana na Diamond ambaye alibahatika kupata naye mtoto mmoja wa kiume, amekuwa akipata madili mengi ya ndani na nje ya nchi ambayo hakuwahi kupata kipindi alipokuwa na jamaa huyo hali anayoitafsiri kama gundu.

“Unajua sasa hivi ninapata madili mengi hadi mimi mwenyewe nashangaa baraka zote hizi zilikuwa wapi tangu mwanzo mbona nilikuwa sipati.
Yaani utadhani nilikuwa na mtu ambaye alikuwa ananipa gundu, lakini sasa baada ya kumkwepa ndiyo gundu limenitoka,” alisema na kukata simu.

Hamisa amekuwa na mitifuano mbali mbali na familia ya Madale hadi kufikia hatua ya kupigwa na mamamkwe, kisa tu asionekane na jamaa huyo.

Lakini baada ya kuachana na Diamond, mwenyewe anadai amekuwa akipata madili mengi ndani na nje ya nchi na watu wengi wanampenda na kumshauri asirudiane na jamaa huyo maana ameshadhalilishwa vya kutosha.

STORI: Shamuma Awadhi, Dar
Kicheche akinikimbia mwache atarudi analia.--Binamu B
 
Nyie hamjjamuelewa Hamisa vizuri. Alimaanisha " Diamond alimtia dudu sio gundu kama mnavyotaka kuuaminisha uma" .

Sasa anapata maadili ambayo hakuwauapata wakati yupo na.mond.Msisitizo " maadili" sio " madili"
 
Baba njaa zinauma hatujala...
😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hamisa bhana!hadi huruma![emoji41][emoji41]eti Dylan wake kamwita Dee ili afanane na tee !badala aishi maisha yake anaiga kunya kwa tembo!!mmmh kuhatarisha msamba,badala akaze kwenye Cherehani ashone nguo za kina chausiku anajifafanya muimbaji!!! Video vixen yeye,msanii yeye,fundi mitindo yeye,kila kitu anataka na kila kitu atakosa.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom