Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,402
Ohoo!! mzee baba ukoo tena? we utawaomba radhi na kuwaambia ulitekwa baada ya picha kuvuja. Hawatakupa ruhusa hata ya kuongeanae nakwambia.Ngoja kwanza nikae na ukoo wangu tushauriane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoo!! mzee baba ukoo tena? we utawaomba radhi na kuwaambia ulitekwa baada ya picha kuvuja. Hawatakupa ruhusa hata ya kuongeanae nakwambia.Ngoja kwanza nikae na ukoo wangu tushauriane.
Sahihi ni porini.
[emoji1787][emoji1787]Msanii mpya wa bongo fleva asiejua kuimba
Uzuri wa mwanamke siyo sura na umbo tu! Uzuri wa mwanamke ni combination ya vitu vingi sana eg akili, anavyojirahisisha kwa wanaume, haiba, mapenzi chumbani...list ni ndefu. Ni hizi combination ndiyo watu wasiojua huwa wanaita ''bahati''. Utasikia watu wanasema fulani ana bahati ya kupendwa! Au ana bahati ya kuolewa. Sasa tukija kwa huyu mama upstairs na jinsi anavyojirahisisha kwa wanaume hana tofauti na Wema. Hebu fikiria alienda USA kwa muda mfupi sana akawa ''ameshaokotwa'' na mwanamme na kupiga naye picha kama mpenzi wake. Kuna mwanaume mwenye akili zake atakubali kuoa mama wa sampuli hii? Yeye na Wema watakuwa wanatumiwa tu mpaka watakapojikuta wakati umewatupa mkono.Ama kweli lilia bahati usililie uzuri, huyu ndo alitumia ndumba ili apendwe?
I wonder,why people consider this chick the most beautiful in TZ???
I really don't get it!
Asante kwa kunifumbua macho![emoji120]Uzuri wa mwanamke siyo sura na umbo tu! Uzuri wa mwanamke ni combination ya vitu vingi sana eg akili, anavyojirahisisha kwa wanaume, haiba, mapenzi chumbani...list ni ndefu. Ni hizi combination ndiyo watu wasiojua huwa wanaita ''bahati''. Utasikia watu wanasema fulani ana bahati ya kupendwa! Au ana bahati ya kuolewa. Sasa tukija kwa huyu mama upstairs na jinsi anavyojirahisisha kwa wanaume hana tofauti na Wema. Hebu fikiria alienda USA kwa muda mfupi sana akawa ''ameshaokotwa'' na mwanamme na kupiga naye picha kama mpenzi wake. Kuna mwanaume mwenye akili zake atakubali kuoa mama wa sampuli hii? Yeye na Wema watakuwa wanatumiwa tu mpaka watakapojikuta wakati umewatupa mkono.