SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sasa chama chetu kimerahisisha upatikanaji wa uheshimiwa
In God we Trust
Hivi Rais wa Liberia unamfahamu? Ni zao la nini?Hao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kwenye siasa kila kitu kinawezekana, unamkumbuka Chifupa? Jokate je?Tunamsubiri na kichinjio
Lusinde, Steve, Hamisa, Mzee wa kuomba miongozo Goidluck Mlingwa aisee, kama bunge la manzeseAseee hilo bunge waingie akina steve na hamisa mbona balaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitajaie hata mmoja ambaye sio mganga njaa kwenye bunge hili, kuanzia wale wa darasa la saba hadi professors. Baada ya hapo nitarudi kukuhoji kulingana na jawabu lako.Kuweni chonjo na walimbwende na wasanii wanaotaka kutumia kujulikana kwao au umashuhuri wao kuingia kwenye siasa. Jamii iwapime kama kweli wanatosha viti wanavyotaka kugombea vinginevyo jamii itabeba magunia ya upepo kupeleka bungeni. Tunaweza kujikuta tuko na wachumia tumbo na waganga njaa wala hawana habari wala uwezo wa kuwakilisha mtu bungeni.
Huwezi mfananisha sugu, prof j na huyo nungaembeKwani kina Sugu na Prof Jay mbona wapo na hatuoni hilo balaa?
Lini ulikuwa mgumu?!
Kawe na Ubungo!