Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

Kwa sisiemu hawahitaji mti mwenye weledi kwai namba mi muhimu wakati wa ndiooooo! Takataka yoyote itawafaaa magana hakuna cha kuchangia said ya kufuata maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo mpaka wauza TIGO a.k.a 0713 ......... naona pia wapo kwenye kinyang'anyiro cha ubunge !!!!!!
 
Freed Freed, Huku Diamond,
Kule Harmonise msuka nywele, Kule Steve Nyerere..Pale Hamisa.. Hadi raha Yaani Ccm wamejipanga kweli kweli.

Na tayari Mzee wa bakora amesha anzisha na kikundi cha kwaya. Itakuwa kusifu na kuabudu kwa kwenda mbele..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama DJ ameweza kuiongoza Chadema si dhani kama yupo msanii akipata nafasi ya kuwakilisha wananchi atashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunampongeza Mheshimiwa Rais kwa juhudi hizi za kuleta maendeleo.....
 
Freed Freed,
Ndo maana nasema baadhi ya majimbo, hakuna haja ya kuwa na mbunge. Huyo aingie akasaidie nini? Atokemeze madawa kwani yeye ni Polisi? Hatujitambui kabisaa!
 
Halo JF siasa.

Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha Wanakinondoni bungeni. Inadaiwa anaungwa mkono na baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Dar es salaam.

Mheshimiwa Hamisa amepanga kuutokomeza biashara ya madawa ya kulevya, ukahaba, wizi na vitendo vingine vya uhalifu. Pia amepanga kuboresha miundombinu, elimu, Afya, maji, usafi wa mazingira, kupunguza kelele nk.

Nikishasikia tu kuwa Mlimbwende wa Kitanzania anataka Kugombea Ubunge halafu anaungwa mkono na baadhi ya Wajumbe ambao wengi Wao huwa ni Wanaume huwa nakuwa na Wasiwasi mno na hali yake ya Kiafya lakini pia huwa ninamuonea sana Huruma.
 
Halo JF siasa.

Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha Wanakinondoni bungeni. Inadaiwa anaungwa mkono na baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Dar es salaam.

Mheshimiwa Hamisa amepanga kuutokomeza biashara ya madawa ya kulevya, ukahaba, wizi na vitendo vingine vya uhalifu. Pia amepanga kuboresha miundombinu, elimu, Afya, maji, usafi wa mazingira, kupunguza kelele nk.
Gari bovu la ukahaba halisukumwi kwa kukaa ndani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anafaa Sana,anajiamini,Ni mzalendo na umri unamruhusu
 
Back
Top Bottom