Hamisa Mobeto ndani ya Bongo Movie

yap ankera sana na warumi anajitahidi kumtetea na hajui mimi nime play part kubwa kwenye shahada najua movie mbovu kabisa japo sio part yakuonekana

Mmh uli play part gan mkuu?? Ki ukweli ukilinganisha na waigizaj wengine jamaa anajitahid , mapungufu yapo ila jamaa anajituma sana na ni mbunifu, nilipenda sana yule jamaa aliyecheza kama ndumi la kuwir alikuwa mnafk mnafik , Jamaa anajua sana tena sana
 
hahaha zinakera sanaaaaaaaa kama huyu cloud natamani nimtie makofiiii... nikiangalia movie zake

Mi anayenikera ni JB yaan too much anajifanyag mwalimu wa mapenz kila movie, role zake hazibadilikag yule, kila movie yeye anajua jins ya Ku handle mahusiano, Ray naye ndo wale wale sipat picha siku akiigiza jambazi, kwangu msanii halisi ni TINO na mshkaj mmoja ivi anaitwa GABO hawa wanaelewa nini wanachokifanya the rest ni wauza sura tu
 
bongo movie bwana,

hata shule haihitajiki saaana, ili mradi tu usiwe na malengo ya kutoka border za JK..
 

I like Gabo....
 
Gabo yuko vizuri sana aisee kwa sasa anawashika ila hata Mimi JB nae ananikera sana ndg yaani ankuwa mjuaji kupitiliza
 
Gabo yuko vizuri sana aisee kwa sasa anawashika ila hata Mimi JB nae ananikera sana ndg yaani ankuwa mjuaji kupitiliza

That's a problem kila movie yeye mjuaji tu had anaboa sasa
 
Hizi movie za kibongo huwa naziangalia kwenye mabasi tu wakati nikiwa safarini, ukweli hazinivutiiiiiiiiiii hatakidogo.

kizaizai ni kweli Movie nyingi za kibongo zinaboa sana coz mapenzi yametawala sana na sio kuangalia vipaji. Ila kuna wachache wanaojitambua na wako na vipaji vya kuigiza kama Single Mtambarike,JB,Adam kuambiana etc.Umesema huangaliagi movie za kibongo ila ukipata Muda cheki hizi movie tatu za Kibongo,yaani u wont regret ukiziangalia 1:Kitendawili 2:Kigodoro 3:Bana congo 4 Danija
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…