kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
sasa situkusaidieje... nenda kwa wataalam wa magonjwa ya kumbukumbu
kumbukumbu za kuangalia ngono huria za machangudoa na mashoga wa bongo muvi...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa situkusaidieje... nenda kwa wataalam wa magonjwa ya kumbukumbu
yap ankera sana na warumi anajitahidi kumtetea na hajui mimi nime play part kubwa kwenye shahada najua movie mbovu kabisa japo sio part yakuonekana
hahaha zinakera sanaaaaaaaa kama huyu cloud natamani nimtie makofiiii... nikiangalia movie zake
hahaha zinakera sanaaaaaaaa kama huyu cloud natamani nimtie makofiiii... nikiangalia movie zake
Mi anayenikera ni JB yaan too much anajifanyag mwalimu wa mapenz kila movie, role zake hazibadilikag yule, kila movie yeye anajua jins ya Ku handle mahusiano, Ray naye ndo wale wale sipat picha siku akiigiza jambazi, kwangu msanii halisi ni TINO na mshkaj mmoja ivi anaitwa GABO hawa wanaelewa nini wanachokifanya the rest ni wauza sura tu
Hizi movie za kibongo huwa naziangalia kwenye mabasi tu wakati nikiwa safarini, ukweli hazinivutiiiiiiiiiii hatakidogo.
Cloud unamuonea , jamaa anajituma hatari, kaangalie SHAHADA au DR MAX , jamaa bonge la mbunifu labda kama kuna kingine
Hivi hiyo movie ya kigodoro nayoisikia imesha toka