Hamisa Mobeto ndani ya Bongo Movie

Hamisa Mobeto ndani ya Bongo Movie

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kama una sura kama MBUTA NANGA au LUPITA NYON'GO na una kipaji cha kuigiza basi ofisi ofisi za RJ company kwako uzione kama kituo cha polisi au ukionewa huruma utapewa scene za u house girl au uchawi kama sio scene mpito.Ndio sharti la RJ company ukitaka uwe starling make sure reception iwe inakubal camera 360 kama sio caro light na Dodo. Kama una sura kama MBUTA NANGA na shepu ya Pasi imekula kwako,

Imefika zamu ya model maarufu mwenye sura na umbo la kuvutia, Hamisa mobeto kuuza sura kwenye filamu ndani ya kampuni ya kisasa ya RJ company, movie hiyo mpya inayoenda kwa jina la V.I.P imewakutanisha warembo wenye mvuto jackline wolper pamoja na mobeto. I can't wait to see this hot chick in the movie.
 
Nampenda sana huyu binti Hamisa lakini sijui kuna best yake gani naona kule instagram anamtukana sana kamfungulia hadi accnt fake ya kumtusi ila kabinti kanajituma sana aisee afu bado kadogo
 
Kama una sura kama MBUTA NANGA au LUPITA NYON'GO na una kipaji cha kuigiza basi ofisi ofisi za RJ company kwako uzione kama kituo cha polisi au ukionewa huruma utapewa scene za u house girl au uchawi kama sio scene mpito.Ndio sharti la RJ company ukitaka uwe starling make sure reception iwe inakubal camera 360 kama sio caro light na Dodo. Kama una sura kama MBUTA NANGA na shepu ya Pasi imekula kwako,

Imefika zamu ya model maarufu mwenye sura na umbo la kuvutia, Hamisa mobeto kuuza sura kwenye filamu ndani ya kampuni ya kisasa ya RJ company, movie hiyo mpya inayoenda kwa jina la V.I.P imewakutanisha warembo wenye mvuto jackline wolper pamoja na mobeto. I can't wait to see this hot chick in the movie.

Kaka tasnia ya Bongo muvi imejaa amateurs. Kama hao kina Ray wangepitia shule za Theater ingewasaidia Sana, wangefika mbali...Tatizo hawajui kama wao ni amateurs na hata wakielezwa hawataki kwa sababu tu, wao jamii ya Tanzania inawafahamu

Sinema zao zitafika kimataifa endapo watapata mafunzo rasmi, na ku-behave professionally
 
Shule nzuri sana binamu, Ray bado hajajitambua ...sanaa inahitaji mtu awe na akili TIMAMU , psychology inatakiwa itumike sana ...
 
Haha umenifurahisha kwakweli kha eti ofisi za rj nione kama kituo cha polisi
Umeongea pointi mkuu hawa watu wanaangalia zaidi mvuto wa mtu katika kuuza kazi zao wenye vipaji ni wakuhesabu.
 
Naona hawa proin wanajitahidi kuleta mapinduzi kwenye swala la elimu maana wanataka kudili na artist walio soma tu back to the topic naki Hamisa kimepitapita school+uzuri alionao nakujiamini mbona atalishika siko
 
Hizi filamu za kibongo majanga matupu
 
Hivi hiyo movie ya kigodoro nayoisikia imesha toka
 
Hizi movie za kibongo huwa naziangalia kwenye mabasi tu wakati nikiwa safarini, ukweli hazinivutiiiiiiiiiii hatakidogo.
 
hahaha zinakera sanaaaaaaaa kama huyu cloud natamani nimtie makofiiii... nikiangalia movie zake
 
Cloud unamuonea , jamaa anajituma hatari, kaangalie SHAHADA au DR MAX , jamaa bonge la mbunifu labda kama kuna kingine
 
Back
Top Bottom