Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Hamisa Mobeto: Nilidungwa mimba mara tatu na Diamond

Wewe Mondi kishapima DNA zamani, ndio maana sasa hivi hata hela child hatoi. Zigo sasa hivi la huyo mtoto analazimishwa Billnass alibebe, kuna kipindi Mama yake Diamond alimponda kwenye insta "tusilazimishe undugu ".

Sasa kama kweli kisheria ni wa Mondi why kwa nini mpaka sasa Mobetto hajamshtaki Mondi?

Why kwa nini zigo analazimishwa Billnass?
Kwahio yule mtoto ni wa Nenga ama? 😀
 
Hata billnass hajalazimishwa mtoto
Ujue kwa alipofikia HAMISA Kwa Sasa amempuuza tu Mondi na hataki hizo drama
Hyo intavyuu ya miaka mingi kipindi hicho HAMISA nadhani Bado ana akili za kitoto na kishamba
Kwa Sasa HAMISA huyu sio yule wa kipindi kile kutukannwa na ukoo mzima na Bado anaenda kuliwa na Mondi
HAMISA wa Sasa amekaa kimya anawaona wote wapuuzi tu kuhusu DNA mwanzoni walipima walitaka wakapime Tena HAMISA amekataa na sio yeye hata Mimi km nna hakika mtoto ni wako ukisema DNA nakataa asee kama kumkataa mkatae wangapi wanekataliwa wamelelewa single mama na wanafanikiwa
Amechoka na drama za bi Sandra na wanawe,wale hawajitambui they are dying for fame ndo maana yule mama na mwanawe waliweza kwenda kwenye Radio wakasema diamond sio mtoto wa Mzee Abdul aliolewa na Mimba tu ila Mzee Abdul uliona hekima aliyotumia?na Ndo uzazi ulivyo brother...
Kwa Sasa Missa Yuko too far from dramas anafanya umalaya wake kimpango wake Ile familia Iko tayari Kwa lolote Ili tubaki wabaki juu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa unashindana na DNA,dada siku hizi wanaume wa sasa si kama wa zamani eti kitanda hakizai haramu ,akigundua mtoto si wake utamlea mwenyewe na baba unaye mjua ww na kama hujui sasa US wanataka kwenda mbali sana kuna vuguvugu limeanzishwa itambulike kisheria, kwamba kama ikigundulika mwanaume kabambikiwa mtoto,basi mwanamke anatakiwa kurudisha gharama za kumlea mtoto alizotumia mwanaume alibambikiwa mtoto.

Kaa hapo hapo eti nakataa unakataa wakati DNA ndio ishaongea,unaupinga vipi ushahidi wa kisayansi.

Hamisa amekaa kimy sababu Mondi kishajua ndio maana Mondi hatoi hata sumni na hana chochote kutoka kwenye mali ya Mondi.
 
Hujui kitu brother[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana punguza chuki na watoto wa kike
Maendeleo ya mwanamke yapo aina mbili auze uchi afanikiwe au kuolewa au apambane atoboe na kurithi
Yeye anauza ametoboa
Wewe komaa mwanaume

Acheni upotoshaji

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Anauza ametoboa....... ametoboa nini labda kama sikio.
 
Unamuamini Mpoki [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]pole sana
Eti bi Sandra kaandika huyu aliesema diamond sio mtoto wa Mzee Abdul baba Ake Mzee Salum Nyange
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh
Nadhani enzi anasoma Tandika alikukataa weye maana sio kumkomalia huko HAMISA wa watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwanza huyo unayemwona ww mzuri sio type zangua kabisa. Mademu ninaodate nao wenye mizgo,huyo mimi sioni uzuri wake kwangu nisamuona mara nyingi hana uzuri wowote mbele ya macho Yangu.
 
Kwahio yule mtoto ni wa Nenga ama? 😀
Pigia mstari, yule demu ndio maana humuoni kumsumbua Mondi sijui kwenda mahakamni,kama zamani. Ndio maana yy target yake ilikuwa ni kuishi kwa Child Support kutoka kwa Mondi na Majizo.Mondi kishasepa Majizo kaoa sizani,Majizzo atakuwa anatoa ila sizani kama ile zamani si unawajua wanawake wao kwa wao hawapendani.
 
Pigia mstari, yule demu ndio maana humuoni kumsumbua Mondi sijui kwenda mahakamni, maana yy target yake ilikuwa ni kuishi kwa Child Support kutoka kwa Mondi na Majizo.Mondi kishasepa Majizo kaoa sizani,Majizzo atakuwa anatoa ila sizani kama ile zamani si unawajua wanawake wao kwa wao hawapendani.
Lazma kuna namna Lulu atamkunjia tu
 
Sasa unashindana na DNA,dada siku hizi wanaume wa sasa si kama wa zamani eti kitanda hakizai haramu ,akigundua mtoto si wake utamlea mwenyewe na baba unaye mjua ww na kama hujui sasa US wanataka kwenda mbali sana kuna vuguvugu limeanzishwa itambulike kisheria, kwamba kama ikigundulika mwanaume kabambikiwa mtoto,basi mwanamke anatakiwa kurudisha gharama za kumlea mtoto alizotumia mwanaume alibambikiwa mtoto.

Kaa hapo hapo eti nakataa unakataa wakati DNA ndio ishaongea,unaupinga vipi ushahidi wa kisayansi.

Hamisa amekaa kimy sababu Mondi kishajua ndio maana Mondi hatoi hata sumni na hana chochote kutoka kwenye mali ya Mondi.
Hasaaa ana shida ya pesa kwa Sasa kwani?!!!!
Acheni majungu wanaume muacheni hamisa na umalaya wake
Kwani ushamsikia analalamika child support kwa Sasa?!
Sip level,ni lazima muumie kwa Sasa ma'am wengine mmesoma ila ndo hvyo unga unga mwana, wengine mmeambikiziwa watoto mnaleta hasira kwa mobeytooooooo,Malaya mjanjaaaa kazaaa na wenye helaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fancy tayari ana nyumba yake
Mna hasira n an Missa km mke Mwenzenu dada zenu wanaliwa kwa bei cheeeeeap na wanazalishwa wanaachwa hovyoo hasira za kulea wajomba zenu waso na baba mnaleta kwa watu msowajua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pyeeeee!!!!pole weeeee!!!!mobeto anawatia hasira sana wanaume baadhi w kiswahili
 
Unafatilia interview? Unafikir atasema bado anamkubali??. Uko mkoa gani??
Niko Wilaya yaTanganyika kwa Sasa!!!!
Hivi wanaume mnajionaga hamuwezi achwa mkipendwaaa[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]poleni sanaaaa
Km Zari kaolewa,Tanasha Yuko kivyake,wema ndo kabisaaa Yuko na wozuuuuu ,na hamisa daimond hamtaki
Shida mkipendwa mnaleta dharau Sana ila mwanamke ni kiumbe mgumu kuachika ila akiacha ameacha harudi nyumaaa na anakuacha uwe tajiri,maaarufu au kwa na namna yoyote ilivyo

Ukweli Hakuna wanawake alozaa nao anaemtaka kwa Sasa ukiwaza mama Ake alivyo mtata ,"bora kulia kwenye baiskeli kuliko kucheka kwenye hummer brother"
Wanaweza kua malaya IL daimond hawamtaki tenaaa
 
Anauza ametoboa....... ametoboa nini labda kama sikio.
Ha ha ha h!!!Pole kwa nnavokusoma tu wewe in envyyyyyy kwa Missa
Punguz chuki brooo
Km rahisi kuuza nenda kauze na wewe ndugu uhongwe reeeeeeeeeeeeenjiiiii(in Aristotle voice")
Km kuuza rahisi kauze na wewe upate followers 10.2m
Km mtu mwenye followers laki Moja anaishi kupitia matangazo sembuse Hao wasaniii wakitangaza kwenye pages zao
Kuuza rahisi kauze na wewe kwa Diamond utrend baasi umsingizie Mimba,upate umaarufuuu
 
Back
Top Bottom