Hamisa Mobeto

Mkuu wasiliana na bosi wangu D atakupa namba zake. Au njoo ofisini kwetu
 
Kiukweli huyu mwanamama,kabla hajazalishwa tulikuwa tunawasiliana sana.Alikuwa anasisitiza kuwa nifike Daasalama tukaonane,nadhani hofu yangu tuu huenda mtoto angekuwa wakwangu.Nowday hata sms hajibu na nikimpigia mara nyingi anapokea kiviiiiiivu sana.
 
We nae, demu gani huyo sura mbovu km Bibi kizee kakunja goti, rangi hiyo ya makeup inakuzingua, mtafte mondi akupe namba
 
Hiyo picha ya kwanza lazima nimkope leo, CHAPUTA OYEEE!![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hebu lete nambaa yake nijaribu bahati yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…