Hamisa Mobeto

Hamisa Mobeto

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Ohh kumbe yeye basi sawaaa ...aseee wana jukwaa habari zenu !!!!!!!


nimekuja hapa kwa shida moja tuu asee ....nmetokea kumpenda huyu manzi sasa dah shida kumpata...yaani tabuu.....so mwenye namba ake basi au anayefahamiana nae anisababishie aseee maana nina pesa zaidi ya MO hapa sasa nataka nkazizike kwa huyu manzi mwenye ngozi nyororo ka ya manzi wa ki ngarenaro ...........






Hints...kama inakuboa pita pembeni ..tuache sisi na hela zetuu...
 

Attachments

  • TMPDOODLE1489344814561.jpg
    TMPDOODLE1489344814561.jpg
    129.6 KB · Views: 138
  • TMPDOODLE1489344822227.jpg
    TMPDOODLE1489344822227.jpg
    245.3 KB · Views: 199
  • TMPDOODLE1489344828426.jpg
    TMPDOODLE1489344828426.jpg
    209 KB · Views: 138
Una viroba vingapi mkuu uniachie na me cha kupitisha siku?..🙂 🙂 🙂
 
Kweli pesa sabuni ya mwili huyo binti kipindi yuko uswazi alikuwa wakawaida Sana
72188f2d392115c9cd01f8dce1fb0a7b.jpg
...hivyo hiyooo hata kamwa awe mweusi kiasi gani kwa kipindi kile kwa sasa mtoto ka inprove......sanaa sooo ni ,***pesa tuuu""
 
Endelea kunywa mbege huko huko ngarenaro haya mambo waachie wanadaresalama jombaaaa
 
Hilo jini ndio umelipenda??nenda muheza tanga huyojuta utampata aliye staarabika na sio kama huyo
 
Back
Top Bottom