Hamisa Mobetto achana na kuimba, kipaji hicho huna!

mwakimonya

Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
11
Reaction score
14
Nani ana namba ya Hamissa Mobetto au mama Dylan kama anavyoitwa na Nasib Abdul, mpigieni mwambie tunajua maisha ya mtanzania yamekuwa magumu sana sema aache kuvamia kazi za watu.

Maana anachoimba ni jina lake tu ndo linafanya watu wasikilize bila hvo nazani ni trash music ambao haustahili hata yeye mwenywe kuusikiliza.

Mwambieni awaachie wenye fani zao maana kulala na msanii hakukufanyi na ww ujue kuimba aiseeh. Anaharibu carrier za watu wanashindwa kupata air time kwaajili ya uchafu wao
 
Kuku akinya chooni sio kama ana akili bali alienda kutafuta chakula
 
Ile nyimbo ilikuwa ni kwa ajili ya kuombea viza ya US
 
Back
Top Bottom